Shaa Mdogo wa Vanessa (wa katikati), Avid (kulia) na mshkaji Vanessa na mdogo wake Vanessa Mdee na B12 Izzo B, Mima, B12, Quick Rocka Weusi G Nako na Joh Makini Izzo B akimkaba kiutani producer Master J Linah Ommy Dimpoz akitumbuiza Vanessa Mdee na Linah
Mshindi wa Redd's Miss Kigamboni 2013 Magdalena Olotu (katikati) akila pozi katika picha ya ukumbusho na mshindi wa pili Latifa Mohamed( wa pili kushoto) na Mshindi wa tatu Irene Rajab (wa pili kulia) pamoja na mshindi wa nne na wa tano
WIMBO BORA WA RNB; RAMA DEE ft MAPACHA-KUWA NA SUBIRA KIKUNDI BORA CHA TAARABU-JAHAZI MODERN TAARAB MTUNZI BORA WA TAARABU-THABIT ABDUL WIMBO BORA WA TAARABU;KHADIJA KOPA-MJINI CHUO KIKUU MTAYARISHAJI WA WIMBO WA MWAKA KWA TAARABU-ENRICO MSANII BORA WA KIKE -TAARBU; ISHA MASHAUZI MSANII BORA WA KIUME -TAARABU; MZEE YUSUPH WIMBO WENYE VIONJO VYA ASILI-MRISHO MPOTO ft DITTO-CHOCHEENI KUNI MTUNZI BORA WA MASHAHIRI BONGO FLAVA-BEN POL MTAYARISHAJI BORA WA MWAKA-MUZIKI WA KIZAZI KIPYA; MAN WALTER MSANII BORA WA KIUME BONGO FLAVA-DIAMOND MSANII BORA WA KIKE BONGO FLAVA-RECHO MTUNZI BORA WA MASHAHIRI HIP HOP-KALA JEREMIAH WIMBO BORA WA BONGO POP;OMMY DIMPOZ-ME AND YOU MSANII BORA ANAYECHIPUKIA-ALLY NIPISHE MSANII BORA WA KIUME-DIAMOND KIKUNDI BORA CHA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA-JAMBO SQUAD MTAYARISHAJI CHIPUKIZI WA MWAKA-MENSEN SELECTA WIMBO BORA WA BENDI;MASHUJAA-RISASI KIDOLE MTUNZI BORA WA MASHAHIRI -BENDI; CHARLS BABA MTAYARISHAJI WA WIMBO WA MWAKA-BENDI ;AMOROSSO MSANII BORA WA KIKE-BENDI ;LUIZA MBUTU MSANII BORA WA KIUME-BENDI ;CHARLS BABA BENDI BORA YA MWAKA-MASHUJAA BAND WIMBO BORA WA ZOUK; AMINI -NI WEWE WIMBO BORA WA REGGAE;WARRIORS FROM THE EAST-KILIMANJARO WIMBO BORA WA RAGGA/DANCEHALL; DABO-PREDATOR MSANII BORA WA HIP HOP-KALA JEREMIAH WIMBO BORA WA HIP HOP; NAY WA MITEGO-NASEMA NAO WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI;JOSE CHAMELEONE-VALUVALU WIMBO BORA WA KUSHIRIKIANA;OMMY DIMPOZ ft VANESSA-ME AND YOU WIMBO BORA WA MWAKA; KALA JEREMIAH-DEAR GOD VIDEO BORA YA MWAKA;OMMY DIMPOZ-BAADAE HALL OF FAME-KILIMANJARO BAND WANA NJENJE HALL OF FAME-SALUM ABDALLAH YAZIDU MSANII BORA WA KIKE-LADY JAY DEE