Sunday, June 9, 2013

FANS WA VANESA(VEE)HII INAWAHUSU Angalia PHOTOS: Mastaa walivyofurika kwenye birthday party ya Vanessa Mdee

vanessa-mdee-birthday-4
vanessa-mdee-birthday-3
vanessa-mdee-birthday-1
Shaa
 Shaa
Mdogo wa Vanessa (wa katikati), Avid (kulia) na mshkaji
 Mdogo wa Vanessa (wa katikati), Avid (kulia) na mshkaji
Vanessa na mdogo wakeVanessa na mdogo wake

Vanessa Mdee na B12Vanessa Mdee na B12
Izzo B, Mima, B12, Quick Rocka
 Izzo B, Mima, B12, Quick Rocka
Weusi G Nako na Joh Makini
Weusi G Nako na Joh Makini
Izzo B akimkaba kiutani producer Master JIzzo B akimkaba kiutani producer Master J
LinahLinah
Ommy Dimpoz akitumbuiza
Ommy Dimpoz akitumbuiza
Vanessa Mdee na LinahVanessa Mdee na Linah

Huyu Hapa Mshindi wa Redd's Miss Kigamboni 2013


Mshindi wa Redd's Miss Kigamboni 2013 Magdalena Olotu (katikati) akila pozi katika picha ya ukumbusho na mshindi wa pili Latifa Mohamed( wa pili kushoto) na Mshindi wa tatu Irene Rajab (wa pili kulia) pamoja na mshindi wa nne na wa tano

ANGALIA JINSI MJINI TWITTER KULIVOCHAFUKA KUHUSU BIFF LA JAY D NA FA













TAZAMA LIST NZMA YA WASHINDI WA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2013

WIMBO BORA WA RNB; RAMA DEE ft MAPACHA-KUWA NA SUBIRA

KIKUNDI BORA CHA TAARABU-JAHAZI MODERN TAARAB

MTUNZI BORA WA TAARABU-THABIT ABDUL

WIMBO BORA WA TAARABU;KHADIJA KOPA-MJINI CHUO KIKUU

MTAYARISHAJI WA WIMBO WA MWAKA KWA TAARABU-ENRICO


MSANII BORA WA KIKE -TAARBU; ISHA MASHAUZI

MSANII BORA WA KIUME -TAARABU; MZEE YUSUPH

WIMBO WENYE VIONJO VYA ASILI-MRISHO MPOTO ft DITTO-CHOCHEENI KUNI

MTUNZI BORA WA MASHAHIRI BONGO FLAVA-BEN POL

MTAYARISHAJI BORA WA MWAKA-MUZIKI WA KIZAZI KIPYA; MAN WALTER

MSANII BORA WA KIUME BONGO FLAVA-DIAMOND

MSANII BORA WA KIKE BONGO FLAVA-RECHO

MTUNZI BORA WA MASHAHIRI HIP HOP-KALA JEREMIAH

WIMBO BORA WA BONGO POP;OMMY DIMPOZ-ME AND YOU

MSANII BORA ANAYECHIPUKIA-ALLY NIPISHE

MSANII BORA WA KIUME-DIAMOND

KIKUNDI BORA CHA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA-JAMBO SQUAD

MTAYARISHAJI CHIPUKIZI WA MWAKA-MENSEN SELECTA

WIMBO BORA WA BENDI;MASHUJAA-RISASI KIDOLE

MTUNZI BORA WA MASHAHIRI -BENDI; CHARLS BABA

MTAYARISHAJI WA WIMBO WA MWAKA-BENDI ;AMOROSSO

MSANII BORA WA KIKE-BENDI ;LUIZA MBUTU

MSANII BORA WA KIUME-BENDI ;CHARLS BABA

BENDI BORA YA MWAKA-MASHUJAA BAND

WIMBO BORA WA ZOUK; AMINI -NI WEWE

WIMBO BORA WA REGGAE;WARRIORS FROM THE EAST-KILIMANJARO

WIMBO BORA WA RAGGA/DANCEHALL; DABO-PREDATOR

MSANII BORA WA HIP HOP-KALA JEREMIAH

WIMBO BORA WA HIP HOP; NAY WA MITEGO-NASEMA NAO

WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI;JOSE CHAMELEONE-VALUVALU

WIMBO BORA WA KUSHIRIKIANA;OMMY DIMPOZ ft VANESSA-ME AND YOU

WIMBO BORA WA MWAKA; KALA JEREMIAH-DEAR GOD

VIDEO BORA YA MWAKA;OMMY DIMPOZ-BAADAE

HALL OF FAME-KILIMANJARO BAND WANA NJENJE

HALL OF FAME-SALUM ABDALLAH YAZIDU

MSANII BORA WA KIKE-LADY JAY DEE