Tuesday, June 4, 2013

HUYU ndo MWANADADA MTANZANIA ATAKAYE NYONGWA IJUMAA HII NCHINI EGYPT BAADA YA KUKUTWA NA MADAWA YA KULEVYA


mwanadada hyu ni MTANZANIA anaye ishi nchini,siku za hivi karibuni mwanadada huyu alikamatwa na serikali ya nchini Egypt kumshtaki kwa kosa la kukutwa na madawa ya kulevya na kuhukumiwa azbu ya kunyongwa mpaka kufa:INASIKITISHA SANA

No comments:

Post a Comment