Wednesday, May 22, 2013

HIKI NDICHO KILICHOJIRI CITY CENTER: WANANCHI WAJIHADHARI NA UNUNUZI WA MAJI FEKI JIJINI DAR ES SALAAM! HABARI KAMILI NA PICHA CHEKI HAPA:

1 
Mfanyabiashara wa maji aliyetambulika kwa jina la Kigira Mhisho(15) akimwaga maji baada ya kubainika kuwa anauza maji bandia.PIX 2 wakimhoji 


Wananchi wakifuatilia mzozo baina ya mfanyabiashara wa maji na mteja wake baada ya kubainika kwamba amemuuzia maji bandia.Mfanyabiashara huyo ametambulika kwa jina la Kagira Mhisho mwenye umri wa miaka 15 inaseemekana kuwa amekuwa akifanya biashara hiyo kwa kutumia maji kutoka sokoni kariakoo kwa takribani miaka mitatu sasa.Ninvyema wananchi wakajihadhari na maji yanayouzwa njiani kwani baadhi ya wafanyabiashara wasiowaaminifu huokota chupa zilizokwisha tumika na kuzitumia.Ninashauri vyombo husika katika ukaguzi na kujali afya za walaji kuingilia kati ili 
kuepusha wananchi kupata maradhi mbalimbali.

No comments:

Post a Comment